Ufafanuzi wa chumo katika Kiswahili

chumo

nominoPlural machumo

 • 1

  kile kilichotunguliwa kutoka mtini.

 • 2

  kilichopatikana kwa kazi au biashara.

  pato, faida, kivuno

 • 3

  msingi wa kupatia kazi au faida.

Matamshi

chumo

/t∫umɔ/