Ufafanuzi wa chumwi katika Kiswahili

chumwi

nomino

  • 1

    kete au kaure zitumikazo katika michezo fulani k.v. bao.

Matamshi

chumwi

/t∫umwi/