Ufafanuzi wa chungia katika Kiswahili

chungia

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na hadhari na.

  • 2

    ogopa

Matamshi

chungia

/tāˆ«ungija/