Ufafanuzi wa chungio katika Kiswahili

chungio

nomino

  • 1

    chombo cha kuchungia.

    chekeche, chekecheke

Matamshi

chungio

/t∫ungijɔ/