Ufafanuzi msingi wa chungu katika Kiswahili

: chungu1chungu2chungu3chungu4chungu5

chungu1

kivumishi

 • 1

  -siokuwa tamu; -siokuwa na ladha nzuri.

  kali, kakasi

Matamshi

chungu

/t∫ungu/

Ufafanuzi msingi wa chungu katika Kiswahili

: chungu1chungu2chungu3chungu4chungu5

chungu2

nominoPlural vyungu, Plural chungu

 • 1

  chombo kilichofinyangwa kwa udongo na kitumiwacho kwa kupikia.

Matamshi

chungu

/t∫ungu/

Ufafanuzi msingi wa chungu katika Kiswahili

: chungu1chungu2chungu3chungu4chungu5

chungu3

nominoPlural vyungu, Plural chungu

 • 1

  mdudu mdogo mweusi wa jamii moja na k.v. mchwa, siafu, sisimizi au majimoto.

Matamshi

chungu

/t∫ungu/

Ufafanuzi msingi wa chungu katika Kiswahili

: chungu1chungu2chungu3chungu4chungu5

chungu4

nominoPlural vyungu, Plural chungu

Matamshi

chungu

/t∫ungu/

Ufafanuzi msingi wa chungu katika Kiswahili

: chungu1chungu2chungu3chungu4chungu5

chungu5

kivumishi

 • 1

  idadi kubwa; wingi.

Matamshi

chungu

/t∫ungu/