Ufafanuzi wa chungu meko katika Kiswahili

chungu meko

msemo

  • 1

    hali ya mtu apataye kiasi cha pesa za chakula tu.