Ufafanuzi wa chungua katika Kiswahili

chungua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~liwa, ~za

  • 1

    tafuta jambo lisilojulikana na wengi ili kulidhihirisha.

    pekua, dabiri, fatiisha, peleleza, hakiki, tafiti

  • 2

    tafuta ukweli wa mambo.

    kagua, chungua

Matamshi

chungua

/t∫unguwa/