Ufafanuzi wa chungulia katika Kiswahili

chungulia

kitenzi elekezi

 • 1

  angalia sana jambo.

 • 2

  angalia kitu, agh. kwa siri na upesiupesi.

 • 3

  tazama kitu kwenye tundu ndogo au nafasi nyembamba.

  ‘Chungulia dirishani’

Matamshi

chungulia

/tāˆ«ungulija/