Ufafanuzi wa chunguzi katika Kiswahili

chunguzi

kivumishi

  • 1

    -enye kutafuta mambo ili kujua undani wake.

Matamshi

chunguzi

/t∫unguzi/