Ufafanuzi wa chunjua katika Kiswahili

chunjua

nomino

  • 1

    kipele kigumu kwenye ngozi kinachosababishwa na ngozi kusuguliwa na kitu.

    dutu, sugu, chuka, sagamba

Matamshi

chunjua

/t∫unʄuwa/