Ufafanuzi wa chunua katika Kiswahili

chunua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa ngozi mwilini.

    ambua, babua

Matamshi

chunua

/t∫unuwa/