Ufafanuzi wa chunyu katika Kiswahili

chunyu

nominoPlural chunyu

  • 1

    michirizi myeupe inayobaki baada ya maji ya chumvi kukauka.

    ‘Ardhi ina chunyu’

  • 2

    michirizi myeupe inayobaki mwilini baada ya mtu kuogea maji ya chumvi pwani.

    chule

Matamshi

chunyu

/t∫uɲu/