Ufafanuzi wa chup! katika Kiswahili

chup!

kiingizi

  • 1

    neno la kumwambia mtu anyamaze, hasa kwa dharau au hasira.

    kimya!, nyamaza!

Matamshi

chup!

/t∫up/