Ufafanuzi msingi wa chupa katika Kiswahili

: chupa1chupa2chupa3

chupa1

nominoPlural chupa

 • 1

  chombo kilichotengenezwa k.v. kwa kioo au sandarusi cha kutilia vitu hasa vya majimaji na mafuta.

  ‘Chupa ya soda’

Matamshi

chupa

/t∫upa/

Ufafanuzi msingi wa chupa katika Kiswahili

: chupa1chupa2chupa3

chupa2

nominoPlural chupa

 • 1

  sehemu katika tumbo la mwanamke ambayo inafanana na mfuko na ambamo mtoto hukua.

Matamshi

chupa

/t∫upa/

Ufafanuzi msingi wa chupa katika Kiswahili

: chupa1chupa2chupa3

chupa3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  ruka kutoka juu mpaka chini.

  kia

 • 2

  ruka kutoka tawi hadi tawi jingine la mti.

 • 3

  (kwa nguo) kuwa fupi.

Matamshi

chupa

/t∫upa/