Ufafanuzi wa chupi katika Kiswahili

chupi

nomino

  • 1

    nguo ndogo ya kufunika uchi.

    kocho

Matamshi

chupi

/t∫upi/