Ufafanuzi wa churupuka katika Kiswahili

churupuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toka katika mkono au mzigo na kuanguka.

    ponyoka, chopoka

  • 2

    nusurika katika mtego, hasa kwa wanyama.

Matamshi

churupuka

/t∫urupuka/