Ufafanuzi wa churuza katika Kiswahili

churuza

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    tiririsha kiowevu taratibu.

Matamshi

churuza

/t∫uruza/