Ufafanuzi wa chushi katika Kiswahili

chushi

kivumishi

  • 1

    -a kuchosha, -a kukinaisha, -enye kuondoa hamu.

Matamshi

chushi

/t∫u∫i/