Ufafanuzi wa chuya katika Kiswahili

chuya

nomino

  • 1

    punje za mpunga ambazo hazikutwangika.

    ndume

Matamshi

chuya

/t∫uja/