Ufafanuzi wa chwago katika Kiswahili

chwago, chago

nomino

  • 1

    kaa ambaye hukaa katika vishimo kandokando ya ufukwe wa bahari.

    chanjagaa, furo, kayakaya