Ufafanuzi wa dabiri katika Kiswahili

dabiri

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  fikiria juu ya matokeo ya jambo fulani.

 • 2

  tafuta, peleleza, chungua, pekua

 • 3

  -pa mgongo.

  kimbia

Asili

Kar

Matamshi

dabiri

/dabiri/