Ufafanuzi wa dachia katika Kiswahili

dachia

nomino

  • 1

    mnyama jike mwenye umri wa kuweza kuzaa.

    mtamba, mfarika

Matamshi

dachia

/datāˆ«ija/