Ufafanuzi wa dadu katika Kiswahili

dadu

nominoPlural dadu

  • 1

    mchezo wa kamari ambao hutumia kipande cha pembe cha miraba sita katika kuucheza.

    domino

Matamshi

dadu

/dadu/