Ufafanuzi wa daftari katika Kiswahili

daftari

nominoPlural madaftari

  • 1

    kitabu cha kuandikia.

    ‘Daftari la mazoezi’
    ‘Daftari la matukio’

  • 2

    kitabu kinachowekewa hesabu ya fedha au ya vitu.

Asili

Kar

Matamshi

daftari

/daftari/