Ufafanuzi wa dafu katika Kiswahili

dafu

nominoPlural madafu

  • 1

    nazi isiyokomaa bado ambayo maji yake hunywewa na nyama huliwa.

    ‘Maji ya dafu’
    ‘Dafu lenye kuanza kuwa na nyama ndani’

Matamshi

dafu

/dafu/