Ufafanuzi wa dago katika Kiswahili

dago

nominoPlural dago

  • 1

    kambi ya wavuvi inayopigwa karibu na ufuo wa bahari wakati wanapokwenda kuvua mbali na makwao na kukaa huko kwa siku nyingi kidogo.

Matamshi

dago

/dagɔ/