Ufafanuzi wa dainamo katika Kiswahili

dainamo

nomino

  • 1

    kifaa kinachozalisha umeme, k.v. kwenye baiskeli.

Asili

Kng

Matamshi

dainamo

/dajinamɔ/