Ufafanuzi wa dakawa katika Kiswahili

dakawa

nominoPlural dakawa

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kamba inayofungwa kati ya mashua mbili ili moja ivutwe na ya mbele.

  ‘Vuta dakawa’

 • 2

  Kibaharia
  kamba ya kuinulia mizigo kutoka melini.

Asili

Kar

Matamshi

dakawa

/dakawa/