Ufafanuzi wa dakika katika Kiswahili

dakika

nominoPlural dakika

  • 1

    sehemu moja kwa sitini ya saa moja.

    ‘Saa moja ni dakika sitini’

Asili

Kar

Matamshi

dakika

/dakika/