Ufafanuzi wa daktari katika Kiswahili

daktari

nominoPlural madaktari

  • 1

    mtu aliyehitimu katika elimu ya tiba ya dawa za kisasa.

    tabibu, mganga

  • 2

    mtaalamu aliyepata shahada ya juu kabisa.

Asili

Kng

Matamshi

daktari

/daktari/