Ufafanuzi wa dalji katika Kiswahili

dalji

nominoPlural dalji

  • 1

    mwendo wa wastani wa punda au farasi.

  • 2

    mwendo wa maringo.

    ‘Kwenda dalji’

Asili

Kar

Matamshi

dalji

/dalʄi/