Ufafanuzi wa damka katika Kiswahili

damka

kitenzi sielekezi

  • 1

    amka alfajiri na mapema.

    rauka, jihimu

Matamshi

damka

/damka/