Ufafanuzi msingi wa damu katika Kiswahili

: damu1damu2

damu1

nominoPlural damu

 • 1

  kiowevu chekundu kinachozunguka katika mwili wa mnyama.

  ‘Nyama na damu’
  ‘Pandisha damu’
  ngeu

Ufafanuzi msingi wa damu katika Kiswahili

: damu1damu2

damu2

nominoPlural damu

 • 1

  hutumika kuelezea uhusiano wa kidugu.

Asili

Kar

Matamshi

damu

/damu/