Ufafanuzi wa damu ni nzito kuliko maji katika Kiswahili

damu ni nzito kuliko maji

msemo

methali
  • 1

    methali uhusiano wa kidugu ni muhimu kuliko wa kirafiki.