Ufafanuzi msingi wa danadana katika Kiswahili

: danadana1danadana2danadana3

danadana1

kielezi

 • 1

  kwa vitanga vya mikono.

  ‘Amechukuliwa danadana’
  chuchuli

 • 2

  kwa shangwe; kwa mikono miwili.

 • 3

  kukaa kwa kujitanua.

Matamshi

danadana

/danadana/

Ufafanuzi msingi wa danadana katika Kiswahili

: danadana1danadana2danadana3

danadana2

nominoPlural danadana

 • 1

  upigaji wa mpira kwa bapa la mguu kwenda juu kwa kurudiarudia mara nyingi bila mpira kugonga chini.

 • 2

  hali ya kumzungusha mtu toka sehemu moja hadi nyingine bila kumtatulia shida yake.

Matamshi

danadana

/danadana/

Ufafanuzi msingi wa danadana katika Kiswahili

: danadana1danadana2danadana3

danadana3

nominoPlural danadana

Asili

Khi

Matamshi

danadana

/danadana/