Ufafanuzi msingi wa dandalo katika Kiswahili

: dandalo1dandalo2

dandalo1

nominoPlural dandalo

  • 1

    ngoma ya asili ya Kihindi inayochezwa kwa vigongo kama tokomire.

    danedane

Matamshi

dandalo

/dandalɔ/

Ufafanuzi msingi wa dandalo katika Kiswahili

: dandalo1dandalo2

dandalo2

nominoPlural dandalo

  • 1

    nguzo k.v. za umeme, simu, n.k..

Matamshi

dandalo

/dandalɔ/