Ufafanuzi msingi wa danga katika Kiswahili

: danga1danga2

danga1

nominoPlural madanga

 • 1

  kiazi kikuu cheupe.

 • 2

  tunda lisilokomaa bado au bichi k.v. nazi.

Matamshi

danga

/danga/

Ufafanuzi msingi wa danga katika Kiswahili

: danga1danga2

danga2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  chota kiasi kidogo.

  ‘Danga maji’

 • 2

  tafuta kitu kilichoadimika.

Matamshi

danga

/danga/