Ufafanuzi wa danguro katika Kiswahili

danguro

nomino

  • 1

    nyumba inayotumiwa na malaya kufanyia umalaya.

    shambiro

Asili

Kre

Matamshi

danguro

/dangurÉ”/