Ufafanuzi wa dansi katika Kiswahili

dansi

nomino

  • 1

    ngoma itumiayo ala za kisasa k.v. matarumbeta au magitaa ichezwayo katika majumba ya starehe.

Asili

Kng

Matamshi

dansi

/dansi/