Ufafanuzi wa danzi katika Kiswahili

danzi

nominoPlural madanzi

  • 1

    tunda kama chungwa lakini kubwa na kali zaidi, agh. hutumika kutengenezea siki.

Matamshi

danzi

/danzi/