Ufafanuzi wa darahani katika Kiswahili

darahani

nominoPlural darahani

  • 1

    nyota iliyo karibu sana na mwezi; nyota ya safari.

Asili

Kar

Matamshi

darahani

/darahani/