Ufafanuzi wa dariji katika Kiswahili

dariji

kitenzi elekezi

  • 1

    weka kwa mpango; panga kitu kimoja baada ya kingine.

  • 2

    fanya jambo hatua kwa hatua.

Asili

Kar

Matamshi

dariji

/dariʄi/