Ufafanuzi msingi wa darizi katika Kiswahili

: darizi1darizi2

darizi1

nominoPlural darizi

 • 1

  nakshi au almaria inayotiwa katika nguo.

  ‘Kanzu ya darizi’

 • 2

  alama za chale.

Asili

Kar

Matamshi

darizi

/darizi/

Ufafanuzi msingi wa darizi katika Kiswahili

: darizi1darizi2

darizi2 , tarizi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  tia nakshi nguo na vitambaa.

Asili

Kar

Matamshi

darizi

/darizi/