Ufafanuzi wa dasili katika Kiswahili

dasili, ghasili

nominoPlural dasili

  • 1

    dawa ya unga wa majani makavu ya mkunazi inayotumika kutibu ugonjwa wa ngozi.

Asili

Kar

Matamshi

dasili

/dasili/