Ufafanuzi msingi wa data katika Kiswahili

: data1data2data3

data1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  toa sauti kama ya kitawi au kijiti kinapotaka kuvunjika.

 • 2

  kosa kitu au jambo unalolitaka.

  mwande

Matamshi

data

/data/

Ufafanuzi msingi wa data katika Kiswahili

: data1data2data3

data2

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  nasa kwa kitu na kutoweza kutoka.

  ganda, kwama, sakama

Matamshi

data

/data/

Ufafanuzi msingi wa data katika Kiswahili

: data1data2data3

data3

nominoPlural data

 • 1

  taarifa au takwimu inayotumiwa kuelezea au kuthibitisha hoja fulani.

Asili

Kng

Matamshi

data

/data/