Ufafanuzi wa dawa ya mitishamba katika Kiswahili

dawa ya mitishamba

  • 1

    dawa inayotokana na mizizi, majani au magome ya miti.