Ufafanuzi wa dawati katika Kiswahili

dawati

nominoPlural madawati

 • 1

  mtoto wa meza.

  jarari, almari, saraka

 • 2

  meza ya mwanafunzi ya kuandikia.

  deski

 • 3

  kidau cha wino.

Asili

Kar

Matamshi

dawati

/dawati/