Ufafanuzi wa dayosisi katika Kiswahili

dayosisi

nominoPlural dayosisi

Kidini
  • 1

    Kidini
    eneo lililoko chini ya utawala wa askofu.

    jimbo

Asili

Kng

Matamshi

dayosisi

/dajɔsisi/