Ufafanuzi wa dazeni katika Kiswahili

dazeni, darzeni

nomino

  • 1

    jumla ya vitu kumi na viwili.

Asili

Kng

Matamshi

dazeni

/dazɛni/