Ufafanuzi wa debe katika Kiswahili

debe

nominoPlural madebe

  • 1

    chombo cha bati cha kutilia vitu, hasa maji au vitu vya majimaji, na chenye ujazo wa galoni nne.

  • 2

    kipimo cha ujazo wa lita 20 au kilo 20.

Asili

Khi

Matamshi

debe

/dɛbɛ/